Lesoni - Shule ya Sabato 2023 icon

Lesoni - Shule ya Sabato 2023

Sachatech Ltd
Free
100+ downloads

About Lesoni - Shule ya Sabato 2023

Pata masomo yote ya muongozo wa kujifunza Biblia kwa watu wa wazima kwa robo zote nne. App hii ni rahisi kutumia na imesheni vipengele mbali mbali ambavyo vitakufanya ufurahie pale unapojifunza.

Vipengele vya App Hii.
1. Chaguo za Lugha
2. Mistari ya Biblia
3. Majadiliano ya Kikundi
4. Sehemu ya Sauti

Programu hii ni huduma inayojitegemea inayounga mkono misheni ya Kanisa la SDA, hata hivyo si sehemu ya, kuhusishwa, au kuungwa mkono na Mkutano Mkuu wa Kanisa la SDA.

Lesoni - Shule ya Sabato 2023 Screenshots