Smart Growth Diary icon

Smart Growth Diary

Fabstech
Free
5+ downloads

About Smart Growth Diary

Ni programu inayotumika kunasa taarifa za ukuaji wa mtoto chini ya umri wa miaka 5.

Mzazi au mlezi utatakiwa kuingiza taarifa sahihi za mtoto kama uzito, urefu aina ya chakula unachompatia mtoto kwa kiasi kipi na mda gani.
Hivyo programu itakupa tathimini ya mpangilio mzuri wa mlo lishe wa mtoto unaotakiwa kumpatia kwa siku.
Ili uweze kujiunga na programu ya "SGD" mzazi au mlezi atatakiwa afike katika kituo cha afya kilicho karibu yakena kufanya usajili wa kujiunga kwa kuingiza taarifa sahihi za mzazi na mtoto.

Smart Growth Diary Screenshots

More from Fabstech