Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyW icon

Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyW

Jamii Data
Free
10+ downloads

About Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyW

Viwavijeshi wadudu wageni barani Afrika,asili yao ni bara la Amerika.Wadudu hawa hushambulia mahindi hasa mahindi machanga, lakini pia wana uwezo wa kushambulia mazao mengine kama vile Mtama, Uwele, Mpunga, Ngano, Miwa na hata mimea jamii ya mbogamboga.

Katika App hii, tutamzungumzia zaidi viwavi jeshi aina ya Fall ArmyWorm (Spodoptera frugiperda). Ambapo utajifunza jinsi ya kuwatambua, mzunguko wao wa maisha, athari zao kwenye mazao na namna ya kuwadhibiti.

App hii ya kitaalamu imeandaliwa mahususi kumsaidia mkulima, afisa ugani na mdau wa kilimo kuweza kumtambua mdudu huyu, dalili mbalimbali na hatimaye kujua wakati na namna sahihi ya kumdhibiti.

Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyW Screenshots

More from Jamii Data