Ajira Yako Leo - Kazi na Tenda icon

Ajira Yako Leo - Kazi na Tenda

MEDANI
Free
1,000+ downloads

About Ajira Yako Leo - Kazi na Tenda

Ajira Yako - Kazi na Tenda, Je umetafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio? kama jibu ni ndiyo, basi kwa sasa uko sehemu sahihi, Pakua app hii ya nafasi za kazi leo, uweze kuona nafasi zote za kazi zilizotangazwa leo hii kupitia website mbali mbali kwenye taasisi za umma na makampuni binafsi.

Nafasi hizi za ajira na tenda zinapatikana kutoka katika website mbalimbali kama :-
• ajirayako.co.tz
• udahiliportal.com
• ajirazetu.com
• ajiraleo.com
• ajirafurumtz.com
• mabumbe blog
• wasomiajira.com
• ajirapeak.com
• ajirachap.com
• wahititimu forum
• kazi bongo
• mkaguzi.com
• bongojobs.com
• kijiwechawasomi.co.tz
• jobwikis.com
na nyingine nyingi


Ajira Yako - Kazi na Tenda na matangazo ya kazi yanapatikana humu bila kusahau matangazo yote yanayohusu elimu kwa ngazi zote za kuanzia shule ya msingi hadi vyuo vikuu.

Ajira Yako Leo - Kazi na Tenda, itakuwezesha kujua namna na mbinu mbalimbali za kuomba ajira na ukwaweza kufanikiwa kupata kazi ya ndoto zako. kwa mfano kuandika Cv, barua ya maombi ya kazi, kujisajili katika mifumo mbalimbali kama vile TAMISEMI na ajira portal tanzania.

Job Scammers alert.
Never Pay to Get a Job. Legitimate Companies don’t Ask for Money, Job Openings with requests for Payment or Fees Should be Treated with Extreme Caution. Ajira Yako is not responsible for money that paid to Scammers.

Disclaimers:
Ajira yako leo app is not in any way affiliated with any of the job websites, companies used. The content displayed in the app comes from already public Rich Site Summary (RSS) feeds of these jobs websites which retain their copyrights.

Ajira Yako Leo - Kazi na Tenda Screenshots