Dereva Makini, Ni App inayolenga kufundisha Madereva Maswala yote yahusiyo Magari na Usalama wa Barabarani. Dhumuni ni Kukuza Madereva Bora, Kupunguza Ajali na Kusaidia madereva kutunza Magari yao kwa Muda mrefu vile vile Kuokoa hela kutokana Matatizo au Matumizi mabaya ya Mafuta yanayo epukika.
Show More