BongoSwaggz - Habari na Buruda icon

BongoSwaggz - Habari na Buruda

NAG Digital Solutions
Free
100,000+ downloads

About BongoSwaggz - Habari na Buruda

Install App Hii Maalumu Kabisa Uwe Karibu na Habari Pia Burudani Kibao kutoka Tanzania na Duniani Kote. 👍

Mengine Kibao ni kama:

📱 BongoSwaggz inakuletea stori za udaku na habari za mastaa wa bongo na nje.

✓ Pia utapata videos kali za muziki, mahojiano ya wasanii na watu mashuhuri na vingine vingi uvipendavyo 📺

✓ Habari za siasa na matukio mbalimbali yanayotokea ndani na nje ya Tanzania.

✓ Jifunze pia mbinu za mapenzi & mahusiano 💖 bila kusahau vituko/vichekesho na habari za michezo ⚽️

✓ Pia unaweza kupata nyimbo mpya za bongoflava na burudani zote kwa kiswahili na taarifa kuhusu filamu na sanaa 📺

✓ Sikiliza Radio 📻 uzipendazo kutoka ndani na nje ya Tanzania BURE kabisa.

BongoSwaggz - Habari na Buruda Screenshots