Lishe360 icon

Lishe360

Portabo Corporation
Free
1,000+ downloads

About Lishe360

Kupitia application hii utaweza kupata ratiba za milo kamili kwa ajili ya watoto kuanzia miezi 6 mpaka miaka 5, wajawazito na akina mama wanaonyonyesha.

Utapata mapishi ya vyakula vyote kwenye ratiba za milo na mengine zaidi.

Utapata utatuzi wa matatizo mbalimbali ya lishe za watoto kama kusumbua kula, kutoongezeka uzito, kufunga choo, kutafuna, upungufu wa damu, upungufu wa virutubisho, allergy na mengine mengi.

Utajifunza vitu vingi sana kuhusu lishe za watoto, wajawazito na wanaonyonyesha.

Utapata ushauri wa lishe bora kulingana na mahitaji ya mtoto, mjamzito au mama anayenyonyesha.

Lishe360 Screenshots

More from Portabo Corporation