Uchawi mweupe icon

Uchawi mweupe

DiraJumla
Free
1,000+ downloads

About Uchawi mweupe

Kitabu hiki kidogo kinakupa muongozo ya jinsi uchawi mweupe unavyotengenezwa na jinsi unavyofanya kazi.
Kitabu hiki sio cha tiba za uchawi bali kujifunza na kujikinga dhidi ya uchawi wa aina zote kama uchawi mweusi, uchawi wa kijani na uchawi huu mweupe.
Kupitia App hii utajifunza jinsi ya kumvuta mpenzi, kumwita jini, n.k

Uchawi mweupe Screenshots