Kitabu cha swala ya maiti icon

Kitabu cha swala ya maiti

DiraJumla
Free
100+ downloads

About Kitabu cha swala ya maiti

Kitabu cha swala ya maiti, mirathi ya kiislam pamoja na wosia.

Kitabu hiki kinakupa muongozo juu ya mambo ya kheri na siyo kheri yanayopaswa kumfanyia maiti.
Baadhi ya yaliyomo katika kitabu hiki cha swala ya maiti ni hatua kwa hatua za kumuandaa na kumswalia maiti, kumkafini maiti, sala ya jeneza, wosia, mirathi.
Muongozo huu ni kwa mujibu wa dini ya kiislam na mafundisho ya Mtume Muhammad S.A.W

Kitabu cha swala ya maiti Screenshots