Dua za kiislam kwa kiswahili App, ni App inayokuwezesha kujifunza dua mbalimbali zilizoombwa na Manabii wa Allah S.W.T.
Kupitia App hii Dua za kiislam kwa kiswahili utajifunza dua za kujikinga na maradhi, dua za kuomba utajiri, dua za kuondoa matatizo, dua za kujikinga na uchawi pamoja na wachawi / majini, dua za usiku na nyingine nyingi.
Pia utapata mawaidha ya kiislam kwa kiswahili kutoka kwa masheikh mashuhuri kama Othman maalim, Nurdin Kishki n.k

Show More