TatuaMzuka icon

TatuaMzuka

Evance Jay E
Free
50,000+ downloads

About TatuaMzuka

TatuaMzuka inakupa nafasi ya kujishindia mamilioni ya TatuMzuka kwa kukupatia namba inayoweza kushinda.

Ukiwa na App Hii unaweza ukafanya haya yafuatayo:
๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Unaweza ukapata namba ya ushindi ya droo za TatuMzuka
๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Unapata matokeo ya droo za TatuMzuka
๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Unapata utabiri wa namba tatu za TatuMzuka
๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Unapata uwezo wa kuona washindi wa droo za TatuMzuka
๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Unapata uwezo wa kuhakiki namba yako ya bahati dhidi ya namba zilizoshinda
๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Unaweza ukachat na watu zaidi ya 50,000 na kujadili masuala mbali mbali yahusu Tatumzuka

Jinsi ya kuitumia
๐Ÿ‘‰Kwanza Download Application ya Tatua Mzuka hapa
๐Ÿ‘‰Kisha fungua Application yako, utaona maelezo ya kutumia application hii pamoja na kitufe chekundu na maandishi meupe kimeandikwa "BOFYA HAPA"
๐Ÿ‘‰Bofya hicho kitufe na subiria wakati namba ina tengenezwa.
๐Ÿ‘‰Baada ya muda namba tatu zitatokea pamoja na asilimia ngapi hio namba inaweza ikaibuka na ushindi.
๐Ÿ‘‰Ndani ya app utapata maelekezo zaidi juu ya namna unaweza kuitumia app hii.

TatuaMzuka, Ushindi ni Lazima.

TatuaMzuka Screenshots