Swahili Words icon

Swahili Words

Fahmicro
Free
100+ downloads

About Swahili Words

Je, ni kwa namna gani upo mahiri kwenye lugha ya kiswahili ? Tumekuletea Swahili Words Ni mchezo (game) ambao utapewa herufi nyingi, kisha utahitajika kuunganisha herufi hizo na kuunda neno lenye maana. Ni mchezo rahisi lakini inahitaji upeo wa kufikiri ili kuweza kufanya kwa usahihi. Ni mchezo mzuri kwani huchangamsha akili, naamini utafurahia... Karibu sana 😁

Swahili Words Screenshots