"Je wajua?" ni App inayokuwezesha kufahamu mambo mbalimbali usiyoyajua au labda unayafahamu lakini si kwa kina! App hii itakujuza zaidi. "Fahamu zaidi" matukio mbalimbali ya kushangaza yaliyowahi kutokea, mambo mbalimbali katika ulimwengu wa sayansi, uchumi, n.k
.
.
Show More