MY KANTINI ni application mahususi kwa ajili ya wanavyuo katika vyuo mbalimbali nchini Tanzania inayompa nafasi mwanachuo kuagiza chakula ama kinywaji vinavyopatikana katika kantini ya chuo chake na kuletewa mahali na wakati wowote katika mazingira yake ya chuo kwa gharama nafuu na kwa kufuata bei elekezi ya kantini husika.
MY KANTINI ina muunganisha mwanachuo na kantini yake , hivyo basi MY KANTINI imehakikisha imejumuisha na kukusogezea kantini zote zinazopatikana katika chuo husika kwenye kiganja chako.
kutumia huduma hii ni rahisi Sanaa kama ifuatavyo;
Download application yako kupitia playstore au app store
Fungua application yako, kisha chagua chuo ulipo ,
Utakutana na orodha ya vyakula na vinywaji vilivyopo kwenye kantini kisha chagua chakula ama kinywaji upendacho kwa kukigusa ama kubofya
Kisha jisajili kwa mara kwanza kwa kuingiza taarifa zako za awali
NB: hii hufanyika mara moja ikiwa ni mara ya kwanza kutumia application hii
Kisha chagua namna ya kufanya malipo, kama utalipa kwa cash ama kwa njia ya mtandao
Kisha kusubiri huduma ndani ya dakika chache
Lakini pia licha ya application kuna website ambayo mtu anaweza kuitumia kupata huduma sawa na anayoipata kwenye application ambayo ni www.mykantini.com
KARIBU.

Show More