JipimePlus App, inakuwezesha kujibu maswali mbalimbali mtandaoni, kujishindia zawadi mbalimbali huku ukichangamsha ubongo na kupima uwezo wako wa kufikiri. JipimePlus APP imetengenezwa mahususi kuleta hamasa ya kujifunza, kufahamu na kutenda kwa Njia ya maswali na majibu.
Show More