UFAFANUZI
Jenga Afya Tokomeza Umasikini ( JATU) PLC ni kampuni ya kitanzania iliyosajiliwa kama kampuni ya umma (Public Limited Company) inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa na baada ya mavuno kampuni hununua mazao yote na baadaye kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa wanachama wa JATU kwa mfumo wa biashara ya mtandao (network marketing).
USAJILI NA UHALALI
Kampuni imesajiliwa Tanzania na BRELA kwa usajili namba 130 452, kampuni pia inatambulika na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa TIN namba 132-718-008 na leseni ya biashara ya kampuni ni B 2403057. B 2357184. Leseni ya Kutoa huduma za kimtandao (Online Shopping Services) namba TCRA/OCS-OO5/033/2019
DHIMA KUU YA JATU
Kujenga afya na kutokomeza umaskini kwa kutumia rasilimali watu, kilimo na Viwanda.

Show More