Mjasiriamali Plus icon

Mjasiriamali Plus

Mshindo Media
Free
1,000+ downloads

About Mjasiriamali Plus

App yetu inatoa mafunzo ya Ujasiriamali katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia, Mapishi, Sanaa na Kilimo.

Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.

Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video

Pia unaweza kututembelea katika Website yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org

Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080

*****************************************************************
Android Solutions
Designed by;
Mshindo Android Solutions
Wanging'ombe
Njombe.
WhatsApp: +255 762 799 080
Email: agrotanzania.care@gmail.com

Mjasiriamali Plus Screenshots