Lima App ni mfumo wa kukutangazia biashara yako ya kilimo na mifugo tu, haitausika na upotevu au utapeli wowote utakaojitokeza. Zingatia sheria zote za biashara baina ya mnunuzi na mnunuaji. Kujisajili lazima ukubaliane na masharti yetu kwa kutiki kijumba kilichopo kulia mwa neno 'Terms & Conditions', tunakutakia biashara njema na furahia huduma yetu.Kwa shida za mfumo tutafute kupitia kurasa yetu ya 'contact Us'. Ujumbe huu kutoka kwa : Utawala wa Lima App, Asanteni wote
Show More