Nuru na Iangaze Radio icon

Nuru na Iangaze Radio

MediaHosting LTD
Free
100+ downloads

About Nuru na Iangaze Radio

Redio Hii Iko Chini Ya kanisa La Nuru Angavu, Ambalo Dhima Zake ni Kupeleka Nuru Ya Injili Kila Mahali Kadiri Ya Mapenzi Ya Mungu, pia Kugusa Maisha Ya Watu Wenye Uhitaji Mbalimbali, Maudhui Makuu ya Redio Ni Kurusha Vipindi Mbalimbali vya Mahubiri Tofauti, Ibada Kuu za Jumapili pamoja na Ibada zingineili kuwafikia wale ambao watakuwa mbali na kanisa na kuweza kujumuika pamoja nao, Pia Kumtukuza Mungu na Kumpa Sifa kwa nyimbo Mbalimbali Za Kusifu Na Kuabudu.

Nuru na Iangaze Radio Screenshots