Gulionet Zanzibar ni soko la mtandao linalo anza kukua kwa haraka na kuenda sambamba na kukua kwa teknolojia ya simu za mkononi na intaneti duniani, ni jukwaa la soko huria linalo kubalika kwa wapa nafasi wanunuzi na wauzaji kukutana.
Ni mtandao unaotoa nafasi za bure kwa Wauzaji wenye Maduka,na watu binafsi wenye bidhaa pamoja na makampuni ya huduma na bidhaa kuwasiliana na kufanya biashara wao na wateja wao mtandaoni bila maingiliano na mtu mwengine yeyote (dalali), ni mtandao unawapa uhuru wanunuzi wa kuchagua na kununua bidhaa nyingi wawezavyo. Jinsi ya kuuza na kununua GulioNET

Show More