App ya kisasa ya kusimamia biashara na kupokea malipo kidigitali zaidi.
App hii inasaidia wafanyabiashara kuuza na kutunza taarifa za mauzo. Zaidi, inasaidia kufanya malipo kutumia 'Lipa Kwa Simu" kwa kutumia Bomba QR. Yaani baada ya kuweka oda, unamulika Bomba QR ya mteja na umemaliza!
Bomba ni App ya kijanja zaidi Africa kwa wafanya biashara. Inawaunaganisha wafanyabiashara na wabia muhimu: mitandao ya simu, mitandao ya malipo, watoa mikopo, wafanyabiashara wa jumla, wateja na watangazaji kwa ujumla.
Karibu sana ulimwengu wa Maisha Bomba.
A digital payment platform to remove the pain in digital payments to merchants which is currently cumbersome, expensive, tedious and error prone. We are enabling digital payments in just 2 steps! No cards, no apps, no downloads, no data! Bringing freedom to digital payments.

Show More