Mkulima Mbunifu icon

Mkulima Mbunifu

Mshindo Media
Free
1,000+ downloads

About Mkulima Mbunifu

App inayotoa mafunzo na Makala mbalimbali katika Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Website yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org. Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.

Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080
.
*****************************************************************
Android Solutions.
Designed by;
Mshindo Android Solutions.
WhatsApp: +255 762 799 080.
Email: agrotanzania.care@gmail.com

Mkulima Mbunifu Screenshots