Nashera icon

Nashera

MifugoHQ
Free
100+ downloads

About Nashera

MISSION YETU :

Kuhakikisha soko la kariakoo linafikiwa na watu mbalimbali pasipo na kikwazo cha umbali,
Wafanyabiashara na wateja wa kawaida wa mikoani,nchi za jirani na Dar es salaam wanafanya manunuzi yao kupitia Nashera popote walipo kupitia App ya Nashera kwa bei za kariakoo


NI NINI HASA TUNAFANYA

Masaplaya wakubwa kariakoo wanawafikia wajasiriamali kutoka sehemu mbalimbali kupitia app ya Nashera

Sisi kama Nashera tunasimamia manunuzi yote bila ya mteja kuhangaika na Masplaya

Tunafanya kazi na makampuni yote ya Mabasi na Mengine ya Usafiri kupitia Kampuni ya USIRI TRANSPORT SERVICE kuhakikisha tunawafikia wote wa mikoani,nchi jirani,na hapa Dar es salaam.

Pia tunasafirisha mizigo aina mbalimbali kutoka Dar es salaam kwenda mikoani , Mizigo yoyote sio tuu ulionunuliwa kwenye Nashera. Kupitia oda yako utajua mzigo wako upo gari au basi gani, muda wa kutoka na muda wa kufika



Pia kama kuna bidhaa yoyote unahitaji na haipo kwenye Nashera Usisite kuwasiliana na sisi tukufanyie manunuzi na kukusafirishia. Tutume chochote

Malipo yote ya NASHERA YAFANYIKE KUPITIA LIPA NAMBA HI 5182642 jina NASHERA CO.LTD.

Tuna ofisi Kariakoo,Kigamboni,Urafiki kwa Dar es salaam

Nashera Screenshots

More from MifugoHQ