Natanguliza kumshukuru Mungu kwa ajili ya neema hii kubwa
ya kuandika kitabu hiki, kwa maana bila ya neema ya Mungu
nisingeweza kufanikisha kazi hii.
Pia na kwa mke wangu Angela Alexander, nasema nautambua
mchango wako mkubwa kwangu. Pia sijawasahu wazazi wangu,
na ningependa tunu hii iende kwao, Askofu Dr Juvenal
Kabunduguru na mama yangu Mch Na Mwalimu Christina
Kabunduguru.
Kwa unyenyekevu na moyo na wa dhati napenda kushukuru na
kutunuku kitabu hiki kwako wewe msomaji na kwa watu wote
ulimwenguni ili kwamba uweza wa Mungu utukuzwe ndani yetu
sote.
Shukrani kwa Basileus Mabumba, Mwinjilisti Nelea Yongolo, na
Allen Kuzilwa kwa huduma yenu ya maombi ya kufunga na
kuomba kwa ajili yangu,
Natambua kujitoa kwenu kwa ajili yangu na huduma yangu na
hasa kwa kazi hii ya kuandika kitabu hiki. Mlijitoa kwa ushauri
na maombi na kunitia moyo, kwangu ilikuwa muhimu sana kwa
muda wote wa maandalizi ya kitabu hiki. Kwani elimu hii ni ya
msingi sana na yenye kutoa baraka nyingi kwa watu wengi.
Nawashukuru wote na kuwatunuku kitabu hiki.
Mwisho siwezi kuacha kuwashukuru watoa huduma wote wa
Kingdom Mission International Churcch, mliohusika kwa utoaji
wa sadaka kwa ajili ya uchapaji wa kitabu hiki, na waumini na
wapendwa wote, kwani ninyi ni familia moja na mimi, na
maandiko haya yawe tunu kwenu pia.

Show More