Peruzi icon

Peruzi

Takeer
Free
5+ downloads

About Peruzi

Peruzi inakusaidia kukuletea habari kutoka mitandao tofauti tofauti kwenye simu yako kwa urahisi zaidi. Huna tena haja ya kutembelea mitandao tofauti tofauti kupata habari zilizojiri.

Peruzi hupitia mitandao mingi maarufu mara kwa mara kuangalia kama kuna habari mpya na ikipata inakusogezea kwenye simu yako tayari kusomwa na wewe.

Kama mtandao husika uupendao wa habari na udaku haupo, unaweza kuuweka na peruzi itautembelea mtandao huo na kukuletea habari moto moto.

Peruzi Screenshots