Salem Radio | KKKT MBEZI LUIS icon

Salem Radio | KKKT MBEZI LUIS

Righteous International Company Ltd
Free
100+ downloads

About Salem Radio | KKKT MBEZI LUIS

SALEM ONLINE RADIO
Imeasisiwa Katika Kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Mbezi luis (Mlima wa Matumaini) na Mchungaji Kiongozi Godlisten Nkya
Lengo kubwa ni kukupa wewe Mkristo nafasi ya kufuatilia ibada live kutoka mahali popote ulipo lakini pia kupata Mafundisho na Maombezi kutoka kwa Watumishi mbali mbali.

Karibu Uwe Sehemu ya Madhabahu hii na Mungu akubariki Saną.

Salem Radio | KKKT MBEZI LUIS Screenshots