Lipa Link ni App ya malipo itakayokusaidia kupokea malipo kutoka mitandao yote ya kijamii.
Lipa Link pia itakupa Akaunti ya benki itakayokuwezesha kutunza pesa za biashara yako kwa usalama na itakuwezesha kusimamia makusanyo yako ya kila siku.
Ukikusanya malipo kutoka kwa wateja wako. Itawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako ndani ya App ya LipaLink. Hii ni akaunti ya benki kabisa na ni salama kwa pesa zako. Pesa zako ulizokusanya ndani ya App ya Lipa Link utaweza kusitoa kwa urahisi kwenda kwenye mitandao ya simu, kwenda kwa mtu mwingine, au kwenda kwenye akaunti ya benki.

Show More