Mwenyezi Mungu hakushusha ugonjwa pasi na kuwa na dawa, na dawa hizo zimeterenshwa kupitia njia mbalimbali ikiwemo mimea, wanyama na wadudu. Mbali na hapo MwenyeziMungu akakifanya kitabu chake kitukufu (Quran) kuwa tiba juu ya maradhi mbalimbali kwa wale walioamini.
Hivyo, App hii ya Tiba mimea na quran (Tiba za kisunnah), inakufungulia tiba hizo na kuweza kuzifahamu kwa undani
Hivyo, App hii ya Tiba mimea na quran (Tiba za kisunnah), inakufungulia tiba hizo na kuweza kuzifahamu kwa undani
Show More