Ulimwengu wa majini icon

Ulimwengu wa majini

DiraJumla
Free
10,000+ downloads

About Ulimwengu wa majini

App hii ya ulimwengu wa majini ni mahsusi kwa ajili ya kukufunulia juu ya yale usiyoyajua kuhusu majini.
Kupitia App hii utafahamu kabila zote za majini zipatazo 660. App hii si kwa ajili ya kutoa tiba za majini ama uchawi bali kukupa elimu inayohusu viumbe hao kwa mapana na marefu.

Ulimwengu wa majini Screenshots