Jifunze Kiingereza  -Offline icon

Jifunze Kiingereza -Offline

Tzshule Technologies
Free
10,000+ downloads

About Jifunze Kiingereza -Offline

> Ina maneno na misemo zaidi ya 9900+ ya kiingereza ikiwa na matamsi (Namna ya kutamka) na maana yake
Mfano:-
- Welcome ----> Welkam ---> Karibu
- Father ----> Fadha -----> Baba

> Ina masomo zaidi ya 20+ ya kujifunza kiingereza.

> FAIDA YA KUTUMIA APP HII
- Ni rahisi kuitumia (huhitaji kujisajili)
- Inachukua nafasi ndogo sana kwenye simu
- Inatumia Mbs chache (1-10 mbs)
- inawezesha kusoma ukiwa huna Mbs (offline)

Jifunze Kiingereza -Offline Screenshots

Similar to Jifunze Kiingereza -Offline