Tumaini Kuu icon

Tumaini Kuu

Joshua Kanyamanza
Free
10,000+ downloads

About Tumaini Kuu

Kitabu cha Tumaini Kuu, toleo la kiswahili kama lilivyo tafasiliwa kutokea toleo la Kingeleza; Great Hope.
Hiki ni kitabu cha Tumaini kuu ambacho kimewekwa katika mfumo wa application ya simu, mtumiaji ataweza kusoma bila hata ya kuwa na internet (offline application).
Kupitia hiki kitabu cha Tumaini kuu. Utaelewa uchunguzi unaobainisha ukweli wa pambano kati ya wema na ubaya pamoja na mshindi wake.

Tumaini Kuu Screenshots