HABARI ZA SASA icon

HABARI ZA SASA

DORO-CODES
Free
10,000+ downloads

About HABARI ZA SASA

HIVI SASA MANENO YANAONYESHA NA KILA KITU KIPO SAWA UPDATE APP YETU NA DOWNLOAD, KILA KITU KIPO SAWA

MANENO MATAMU TUNAYO SISI , TUMESOGEZA meseji ZOTE UNAZOHITAJI ILI PENZI LAKO LIBAMBE. Unataka kuwa na penzi kama la billnass na Nandy au zaidi, Basi app yetu itakusaidia

Mfano mmoja wapo:Ninakosa nyakati bora zaidi tulipozoea kucheka na kutazama sinema pamoja. Rudi nyumbani, kwa maana moyo wangu ni tupu bila wewe. Samahani kwa makosa niliyofanya.

Nilikosea wakati huu. Sikuwahi kukusudia iwe hivyo. Mpendwa, nisamehe makosa yangu. Nisamehe makosa yangu.

Siwezi kuendelea hivi. Wewe ni jambo zuri zaidi kutokea kwangu katika maisha yangu yote. Samahani kwa kukusababishia maumivu makali. Tafuta nafasi moyoni mwako ili unisamehe.

Huo ni mfano tu, Humu utakuta meseji mbalimbali kulingana na haja yako kama vile:
ASUBUHI NJEMA
BIRTHDAY SMS
I MISS YOU
KUTONGOZA
MAHABA
MCHANA MWEMA
MSAMAHA
Msamaha Sms
QUOTES
USIKU MWEMA


Karibu kushare app yetu na ufurahie na wengine!

HABARI ZA SASA Screenshots