Kitonga oneSoko icon

Kitonga oneSoko

HERMAN GIDEON LUKINDO
Free
100+ downloads

About Kitonga oneSoko

Tunasherehekea mabadiliko .

Tuna rahisisha upatikanaji wa huduma na bidhaa popote ulipo.

Tunakupunguzia garama ya muda na pesa katika kutafuta huduma au bidhaa sahihi.

Tunamfanya mgeni na mwenjeji aweze kujitegemea katika kupata huduma au bidhaa yoyote kwa urahisi.

Tuna unganisha Wafanya biashara na wateja(B2C) na Wafanya biashara na wafanya biashara (B2B)

Tuna boost manunuzi kwa kutangaza biashara yako kwa Elfu ya watu Tanzania

Kitonga oneSoko Screenshots