Katika redio hii watumishi wa Mungu Mwalimu Steven na Beth Mwakatwila tunafanya bidii kusoma, kukuonya na kukufundisha juu ya Mungu Yesu Kristo ili upate kuponywa na kuurithi ufalme wa Mbinguni. Ungana nasi katika semina mbalimbali zinazofanyika na kurushwa hapa moja kwa moja kwa njia ya redio ya mtandaoni. Bofya ukurasa wa Ratiba hapo juu kwa taarifa zaidi
Show More