Programu hii inaundwa na mkusanyiko wa hadithi sahihi kwa ajili ya muislam kusoma kila siku na pia wakati maalum. Hadithi hizi zimechukuliwa kutoka katika kitabu kiitwacho Hisn Muslim kilichoandikwa na Sheikh Sa'id bin Ali bin Wahf Al-Qahtani(Mwenyezi Mungu amrehemu).
Show More