CCM Tanzania - News & Updates icon

CCM Tanzania - News & Updates

Tmg Limited
Free
10,000+ downloads

About CCM Tanzania - News & Updates

pata habari za kina za chama cha mapinduzi kutoka majimbo yote tanzania
kamati kuu na kila habari yoyote ya
ndani na nje ya chama kupitia app hii bure na kwa urahisi wewe mwana ccm app hii si ya kukupita
pakua sasa kudumisha uzalendo na chama chako cha mapinduzi

Hakika Mapinduzi ya kweli ni Umoja wetu

pia kupitia App hii utaweza kubadilishana mawazo na wanachama wenzako wa ccm kutoka pande zote duniani kwa njia rahisi kabisa
tutaweka utaratibu wa sisi wana ccm wa kuanzisha hoja mbalimbali kuhusu
chama chetu na nchi yetu kwa ujumla
app hii si ya kuipita ewe mwana ccm ,
una mawazo au mapendekezo yoyote kuhusu chama hii ndio sehemu sahihi ya wewe
kuwasilisha hisia au mawazo yako kwa chama na kuwafikia wahusika
moja kwa moja

Karibu sana wewe mwana ccm.

CCM Tanzania - News & Updates Screenshots