Smart Maktaba
Epimac Tech
Free
50+
downloads
About Smart Maktaba
Masomo yote Secondary Form I - VI kwa mtandao online kupitia Smart Maktaba app. Mwanafunzi/Waalimu wanaweza 1. Kutumia OFFLINE na ONLINE kwenye Computer na Simu, 2. Kuunganisha account ya SIMU na ya COMPUTER, bila malipo ya ziada. 3. Ku-Install kwenye Computer kirahisi, ukisha-download una-double click then inafanya Automatic instalation. Kwa ajili ya computer OFFLINE download hapa Play store
https://play.google.com/store/apps/details?id=tech.epimac.smartmaktaba
Smart Maktaba app ina manufaa makubwa kwa wanafunzi Form I - VI:
1. Inawapa wanafunzi/waalimu Notes za masomo yote OFFLINE/ONLINE kwenye computer na simu
2. Wanafunzi sasa wanauliza maswali ya masomo na kujibiwa kwa njia ya electronic ndani ya tHL app
3. Smart Maktaba discussion group sasa inaruhusu wanafunzi wa secondary kuunda na kuendesha electronic academic discussion groups na kushirikiana ujuzi ili kuongeza maarifa. Wanafunzi wataweza kuungana kwenye groups za kimasomo na kushirikiana
4. Wanafunzi sasa wanaweza kujipima kwa kufanya Quizes na papers na baada ya kufanya inasahihisha yenyewe na kuwapa solutions
5. Wnafunzi na waalimu wanauwezo wa ku-review NOTES, QUIZES na MAJIBU kwa kututumia comments kuboresha app yetu .
Kuipata Smart Maktaba app download Play store search Smart Maktaba kisha install.