Shajara
Yethroy Jerome
Free
rated 5.0 stars
100,000+
downloads
About Shajara
Shajara ni mfumo unaokuletea masomo ya misa ya kila siku, sala mbalimbali za kanisa katoliki na historia za watakatifu kiganjani mwako ili uweze kusoma neno la Mungu kila siku na pia kusali kumuomba na kumshukuru Mungu wakati wowote na mahali popote.