Madrasa App icon

Madrasa App

Bsolutions Limited
Free
1,000+ downloads

About Madrasa App

Madrasa App ni application inayokuwezesha kujifunza dini ya kiislamu kwa njia nyepesi na rahisi kupitia videos zilizoandaliwa kutokana na mashekhe wenye maarifa makubwa ya elimu ya dini.

Application hii itakuwezesha kujifunza popote pale ulipo na muda wowote hule,
ina masomo kadhaa ambayo kila siku yanaendelea kuwekwa kwa mujibu wa mahitaji na maslahi wa wasomaji.

Madrasa App Screenshots

More from Bsolutions Limited