DONE-TZ icon

DONE-TZ

Tujifunze
Free
100+ downloads

About DONE-TZ

D.O.N.E(Door Open Digital-Noformal Education) ni kampuni ya kuwezesha mafunzo mbali mbali kwa njia ya matandaoni.. Kampuni hii imejipanga kufikisha mafunzo kwa vijana wapata 100,000 ili waweze kujitegemea kiuchumi ifikapo 2025. Mafunzo haya yapo katika makundi yafuataya:
(1) Kumuzesha kijana kutambu huduma yake kwa jamii (Niche Clarity and Personal development)
(2) Kukuza na kuboresha huduma yake (Caoching programs)
(3) Kujua zana za kutolea ama ku-uzia huduma yake(Skill set and tools)
(4) Kuuza huduma yake kwenye adhira ama jamii inayomzunguka(Digital Marketing)