Programu hii inawezesha kuingiza taarifa za uendeshaji biashara kwa manunuzi, mauzo, madeni, mikopo na ufungaji hesabu wa kila siku kwa biashara.
Haihitaji intaneti wakati wa matumizi isipokuwa wakati wa kutunza na kushirikishana taarifa za kibiashara baina ya wamiliki, baina ya wafanyakazi au kati ya mmiliki na mfanyakazi.

Show More