Jifunze Uislam icon

Jifunze Uislam

Luqman Technologies Ltd
Free
10,000+ downloads

About Jifunze Uislam

App hii inakuelimisha maana/historia ya Uislam, Imani, Umuhimu wa Elimu katika Uislam, Tabia Njema, Adabu za Kiislam, Twahara, Nguzo za Uislam na utekeleaji wake nazo ni Swala, Zakah, Saumu, Hijja, Ndoa katika Uislam, Aqiqah, Vyakula vilivyoruhusiwa katika Uislam, Dua za Asubuhi na Jioni, na Majina 99 ya Allah (S.W)

Jifunze Uislam Screenshots

More from Luqman Technologies Ltd