Matwi PesaYangu icon

Matwi PesaYangu

Heri Jackson
Free
50+ downloads

About Matwi PesaYangu

Ni App inayomuwezesha mtu kutunza kumbukumbu za madeni na malipo ya kila alie kopeshwa.

Kwa kutumia App hii unaweza mtumia mdaiwa wako ripoti fupi ikionyesha jumla ya madeni , malipo na salio lake kwa njia ya ujumbe mfupi(SMS) au barua pepe.

Matwi PesaYangu Screenshots