Mfumo huu ni wa kutoa mafunzo mbali mbali kwa njia ya mtandao ambao umejengwa na ESRF ikishirikiana na Wizara ya Kilimo. Kutakuwa na Mafunzo ambayo utaweza kuyatapata kwa njia ya Video au maandishi bila video. Pia unaweza kupakuwa na kuendelea kusoma hata kama hauna Mtandao wala bando.
Show More