App hii inawawezesha, Abiria ,Na Jamii yote kwa Ujumla kujua kama Afisa Msafirishaji Anatambulika kwenye kwenye kituo chake Cha biashara , Na ameruhusiwa kubeba abria Na Kwa yule asiyetambulika kwenye mfumo huu atakuwa na Nia nyingine mbali na Usafirishaji
Hivyo mfumo hutaondoa waalifu wote waliojificha kwenye sekta ya usafirishaji wa pikipiki wakijifanya ni maafisa wasafirishaji
Hivyo mfumo hutaondoa waalifu wote waliojificha kwenye sekta ya usafirishaji wa pikipiki wakijifanya ni maafisa wasafirishaji
Show More