Amana Bank ndio benki ya kwanza nchini yenye kufuata kanuni na misingi ya sharia. Kwa lugha ya Kiswahili, Amana inamaanisha uaminifu. Nembo yetu inawakilisha usalama na mafanikio / ustawi, kwa maana kwamba ukiwa na Benki ya Amana upo katika mikono salama.
Show More