Kimsingi vitabu vya Agano la Kale ni vilevile vya Biblia ya Kiebrania, biblia takatifu ya kiswahili ya katoliki, biblia takatifu agano la kale na jipya, ingawa madhehebu ya Kikristo hutofautiana kidogo katika hilo. Ni kwamba wakati wa kutokea kwa Ukristo palikuwa na tofauti ndani ya Uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu, biblia takatifu agano la kale, biblia takatifu agano jipya. Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 BK wataalamu wa Wayahudi wa huko Jabneh (Jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa Yesu, biblia takatifu audio.
Show More