Imani za Msingi - SDA Beliefs icon

Imani za Msingi - SDA Beliefs

Almodad Amos

About Imani za Msingi - SDA Beliefs

Explore the Fundamental Biblical Doctrines in a simple and beautifully designed app that works offline.
Jifunze Mafundisho Makuu ya Biblia kupitia programu hii tumishi ambayo ni rahisi kutumia na yenye muundo mzuri wa kuvutia, na ambayo yaweza pia kufunguka hata bila Mtandao.

Features:


1. Includes all 28 Fundamental Beliefs of the SDA Church
2. Bible references open offline within the app
3. Elegant and user-friendly design
4. No internet connection required

Sifa Zake Kuu:


1. Imani zote 28 za Msingi zimeelezwa Kikamilifu
2. mafungu ya Biblia yanafunguka bila intaneti ndani ya programu
3. Imetengenezwa kwa namna ya kuvutia (Nzuri)
4. Imani za Msingi zaweza kufunguka hata Bila Internet

Whether you're studying alone, teaching others, or preaching the Word, Imani za Msingi is your spiritual companion—anytime, anywhere.
Kwamba unajisomea mwenyewe, unafundisha wengine, au unalihubiri Neno la Mungu, Imani za Msingi ni rafiki wa kiroho—wakati wote, mahali popote.
Similar to Imani za Msingi - SDA Beliefs

©2023 Verdant Labs LLC. All rights reserved.

Privacy PolicyContact