Hadithi
Lengo letu kubwa lilikuwa kwamba tuweze kuwafikishia watu hadith za Bukhari kwa Kiswahili ili wale wanaojua lugha ya Kiswahili waweze kunufaika nazo. Bado kuna watu wengi wanahitaji kufikishiwa hadith hizi; kuna vipofu, viziwi na kadhalika. Siyo ujanja wetu kwamba tunaweza tukaona na siyo ujanja wet