Anuani Maneno Matatu(AM3)
Sasa kila raia, biashara na kila mali isiyohamishika kwenye nchi za Afrika Mashariki imepata anuani ya kudumu. Ardhi yote ya Afrika Mashariki tumeigawanya kwenye miraba ya ukubwa wa mita tatu kwa tatu (3m x 3m) na kila mraba umepewa anuani maneno matatu. Maneno matatu haya hayana maana yoyote. Ni ma